Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Vanessa Mdee Anawiri Kwa Kufurahia Penzi Murua la Rotimi

Pichani ni msanii marufu wa kike na malkia wa music kutoka Bongo Flava nchini  akiwa katika pozi za mahaba motomoto na mchumba ake aitwae Rotimi, ambaye ni raia wa , ila makazi yake kaweka nchini .

Ila Vanessa tangu awe na mahusiano na Rotimi anaonekana kuwa na furaha, amani, na amenawiri na kuzidi kupendeza. Tofauti na alivokuwa ktk mahusiano yake ya awali.

Hii couple imetaradadi na kudamshii, Jah awe nao na awafanyie wepesi wadumu milele.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments