Wanamuziki wa Nigeria Davido, Burna Boy na Wizkid Wacharuka Wawataka Polisi Uganda Kuwaachia Omah Lay na Tems

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wanamuziki wa Nigeria Davido, Burna Boy na Wizkid wameendelea kuwa vipaza sauti kwa matatizo yanayowakumba watu wa taifa lao.

Leo wamecharuka kupitia twitter, wakipaza sauti kuitaka mamlaka ya polisi nchini Uganda kuwaachia Wanamuziki Omah Lay na Tems ambao wanashikiliwa kwa kosa la kukiuka kanuni za COVID-19 nchini Uganda, mara baada ya kukamatwa siku ya Jumamosi punde tu baada ya kumaliza onesho lao la muziki.


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad