google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Watu 211,000 wanaambukizwa Corona kila siku Marekani | UDAKU SPECIAL

Watu 211,000 wanaambukizwa Corona kila siku Marekani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA




Zaidi ya watu milioni 16 wameambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani. Hii ni kulingana na hesabu ya chuo kikuu cha John Hopkins hapa Marekani. Zaidi ya watu 307,000 wamefariki. Hesabu hiyo imetolewa wakati chanjo dhidi ya Corona inaendelea kutolewa kote nchini. Chanjo hiyo imeleta matumaini ya kushinda nguvu maambukizi ya Corona japo idadi ya watu wanaolazwa hospitalini inaendelea kuongezeka kwa kasi. Maafisa wanaosimamia shughuli ya kutoa chanjo hiyo wamesema kwamba wanatarajia watu milioni 20 kupata dozi za kwanza mbili zinazohitajika kabla ya mwisho wa mwaka. Wafanyakazi wa afya walio katika msitari wa mbele kupambana na janga la Corona na wahudumu katika vituo vya kuwasaidia watu wazee, ndio watu wa kwanza kupewa chanjo hiyo. Kwa wastan, watu 211,000 wanaambukizwa virusi vya Corona kila siku. Zaidi ya watu 112,000 wanalazwa hospitalini.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad