WHO: Asilimia 14 ya wafanyakazi wa huduma ya afya wamegundulika kuwa na Covid-19

 


Asilimia 14 ya wafanyakazi wa huduma ya afya wamegundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (Covid-19).

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Dr. Tedros Adhanom Ghebreyesus, ametangaza kuwa asilimia 14 ya kesi maambukizi ya virusi vya corona kote duniani imegundulika kwa wafanyakazi wa huduma ya afya. 


Ghebreyesus alifanya mkutano wa video katika makao makuu ya WHO mjini Geneva nchini Uswisi na kusema,


"Janga hili limetukumbusha sote ushujaa wa wafanyakazi wa huduma ya afya katika kazi wanayoifanya kila siku.”

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments