Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Yasemekana Ali Kiba Aachana na Mkewe Tena Kisa Play Station 5

 


Inasemekana Ndoa Imeingia Nzi Kisa PS5 na Marafiki watoto.

Mwana DSM hit Maker @officialalikiba na Mkewe wametengana tena. Chanzo PS5.

Habari zinasema Alikiba ana marafiki watoto sana na anapenda kucheza PS5 hamsaidii mkewe kazi na Pia kingine Nyumba anayoishi ina watu sana bado wanaendelea kuenda. Pia inasemekana Amina Keshasepa kwenda zake Mombasa @divamediaafrica inatafuta balance ya story Hii ya Mwanamuziki Nguli wa Muziki wa Bongofleva na ambae Ni Kipenzi cha watu.

Hivi karibuni Alikiba ameachia ngoma mpya toka africa kusini na inasemakana 2021 ataacha muziki na kununua Private jet iwe inampeleka sehemu za tour yake na mapumziko Yake

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments