Zungu akabidhi ofisi kwa Waziri Ummy Mwalimu
Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu akikabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika hii leo katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.

Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu akikabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika hii leo katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine.


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akiteta jambo Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu mapema hii leo katika mji wa Serikali Mtumba Dodoma. 

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments