Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Adaiwa Kujichoma Moto Kwa Petrol Baada ya Kumfumania Mkewe na Njemba

 


Chikwisu, Mkazi wa Majengo Newala mjini amefariki Dunia baada ya kujimwagia mafuta ya Petroli mwilini na kujichoma huku kisa kikitajwa kuwa ni ugomvi wa kimapenzi na mke wake


Mtoto wa marehemu, Msafiri Hashimu amesema, chanzo cha Baba yake kufanya hivyo ni baada ya kumfumania mke wake takriban wiki moja iliyopita na tangu hapo hakuwa sawa hali iliyopelekea kujiua


Taarifa ya Matibabu imesema, marehemu aliungua kwa kiasi kikubwa kuanzia kichwani mpaka maeneo ya tumboni. Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments