Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Aggrey Morris aagwa Kifalme, watu wasimama dakika 3, nyimbo ya taifa, zawadi juuMchezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Aggrey Morris ameagwa kishujaa hii leo uwanja wa Mkapa akitundika daluga rasmi kunako Taifa Stars wakati wa mchezo wa kirafiki baina ya timu ya taifa ya Tanzania dhidi ya DR Congo. Morris amepewa jezi, mpira na hundi yenye thamani ya shilingi milioni tano.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments