Polisi Nchini #Kenya wanachunguza kifo cha Mwanaume aliyekutwa amefariki kwenye nyumba ya wageni, ambayo aliingia akiwa na Wanawake wawili
-
Maiti ya Mwanaume huyo imegundulika Januari 12, na amekutwa akiwa mtupu kitandani. Katika chumba kulikuwa na Kondomu iliyotumika lakini Wanawake hawakuwepo
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
0 Comments