Aliyeua Familia Yake Kenya Adai Walikuwa ni Wafuasi wa Shetani Ndio Maana Akaamua Awaue Kikatili

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Simon Warunge (22), Mwanafunzi wa Chuo Kikuu nchini #Kenya amekiri kuwauwa watu watano wa familia yake kwa madai kuwa walikuwa wafuasi wa shetani na ni wakatili


Simon amewaambia Polisi kwamba alitumia chuma kumgonga mama yake, kaka yake, baba yake na binamu yake kabla ya kuwachoma visu na kuwauwa


Dada zake wawili walinusurika na shambulio hilo kwa kuwa walikuwa shuleni. Uchunguzi umeanza upya kuhusiana na mauaji mengine yaliyotokea kwa ndugu wengine wa familia hiyo


-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad