Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Asilimia 85 ya Waliofanya Mtihani Huo Wamefaulu.
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2020 yakionyesha kuwa asilimia 85 ya waliofanya mtihani huo wamefaulu.

Kwa mujibu wa Necta iliyotangaza matokeo hayo leo Ijumaa Januari 15, 2021 kupitia kwa katibu mtendaji wake, Dk Charles Msonde, watahiniwa 434,654 walifanya mtihani huo na 373, 958 wamefaulu katika madaraja mbalimbali.


Dk Msonde amesema kwa matokeo hayo kiwango cha ufaulu kimeongezeka kwa asilimia 5.19.


Katika mtihani huo Paul Luziga wa sekondari ya Pandahill iliyoko Mbeya amekuwa mwanafunzi wa kwanza kitaifa. Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments