Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Baada ya Kauli ya Rais Magufuli Kuhusu Shule Ubungo, Mkuu wa Mkoa AitembeleaMkuu wa Mkoa wa Dar Abubakar Kunenge ametembelea Shule ya Msingi King'ongo kujionea uhalisia jioni hii, baada ya Rais John Magufuli kuwatumia salamu viongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam kufuatia kubomoka kwa madarasa ya shule hiyo na wanafunzi kukaa chini.


Download App ya Udaku Special HAPA Kusoma Hizi Habari Kupitia Simu yako Kirahisi

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments