Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Baba Levo atoboa siri kununuliwa gari na Diamond ‘Bosi wangu hapa sasa bado nyumba tu’ (Video)Msanii wa muziki na mtangazaji wa Wasafi Fm, Baba Levo wiki tumefanya naye mahojiano baada ya kuonyesha gari yake mpya ambayo amefunguka kwamba amenunuliwa na bosi wake mbaye pia ni rais wa WCB @DiamondPlatnumz

Baba Levo ambaye alinaswa na kamera za Bongo5 akiwa kwa @DickSound kwaajili ya kulipendezesha gari hilo, alifunguka kwa kusema gari hiyo amenunuliwa na Diamond na yeye alitoa pesa kidogo na sio kwamba amekopeshwa kama baadhi wa watu wanavyodai.

VIDEO:


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments