Baba Levo "Sijali waniite chawa au Mende wa Diamond Platnumz"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


BLevo Fundi Manyumba Baba Levo ametangaza Vita na mtu yoyote atakae thubutu kumsema vibaya au kumtukana Diamond Platnumz, na kudai kuwa kufanya hivyo ni sawa na kuchezea mkate wake wa kila siku .

Baba Levo amedai kuwa Diamond amegharamia zaidi ya Milion 28 kwa ajili ya Video yake ya #Shusha, bila kudai kurudishiwa hata Senti Tano . Hivyo kitendo hicho kinaonyesha mapenzi makubwa aliyonayo juu yake na namna alivyoamua kumsaidia kwenye muziki na maisha yake kwa ujumla .


"Natangaza rasmi, ukimsema Diamond Platnumz vibaya ujue umeingia kwenye Vita rasmi na mimi. Sijali waniite chawa, Mende, kunguni au papasi, Cha msingi ni Boss wangu na ananilipa mshahara wa mamilioni " - Baba Levo

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndiyo maaana Uchebe alisema unawatia kwenye Hasara.

    Hivyo wewe wa wapi..?? Uhamiaji walisha kuhakiki na Nida si dhani kama utamalizana nao salama.

    Sasa wewe ni Ndorobo au Papasi?

    ReplyDelete

Top Post Ad