Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Baraka da Prince: Asilimia 85 ya muziki wetu kelele na fujo tu bora litrendMsanii wa BongoFleva Barakah The Prince kupitia ukurasa wake wa Instagram ameamua kunyoosha maelezo kwa kusema kuwa asilimia 85 ya muziki unaoimbwa sasa ni kelele, fujo na wasanii wanaimba bora wimbo utrend tu bila kuangalia topic.


“Leo nimejaribu kupitia baadhi ya nyimbo mpya zimetoka hivi karibuni, nimegundua katika 85% ya miziki hiyo ni kelele nyingi, miziki iliyokosa topic yaani fujo fujo tu bora li-trend, bora liendee na bora walevi waka-bang, twapaswa kujitafakari wanamuziki wa kizazi hichi cha nyoka”


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments