Kesi ya Morrison bado ipo, Wanasheria wetu wanatusaidia na mimi ni miongoni mwa watu ambao wanaisimamia kesi hiyo, lakini ninachokiona kutoka kwa Yanga ni kama mtu aliyeachwa na mpenzi wake lakini bado anamlazimisha warudiane" -Barbara Gonzalez (@bvrbvra) CEO wa @simbasctanzania kwenye #HiliGame #PowerBreakfast
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
1 Comments
Kanapenda kuongea haka,,,kanataka nafasi ya Haji nini,,,
ReplyDelete