Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Bashe ageuka mbogo kisa mradi wa Bilioni 2 “hawa ni wahuni” (+video)Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amechukizwa na mwenendo wa mradi uliogharimu zaidi ya Bilioni 1.9 na unaendeshwa kwa kusuasua ambapo amevunja uongozi wa skim hiyo na ametoa wiki mbili kwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora Komanya Erick kusimamia uchaguzi na kupata viongozi watakaoendeleza.


Bashe ametoa maelekezo hayo baada ya kukuta skim hiyo yenye Hekta 400 zimetumiaka Hekta 15 huku zaidi ya Hekta 200 zikiwa zimehodhiwa na watu binafsi kinyume na taratibu “Wakaondolewe kama wana ishu Mahakamani waende wakatushtaki na hawa ni wahuni tu wana-take advantage waite wape notice ya kusurrender Property hatuwezi kustopisha mradi kwasababu ya watu wawili” .

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments