Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Binti akiri kudanganya kubakwa, aliyemtaja afungwa jela miaka 60


Siha Amezongwa na majuto akikumbuka kile alichokifanya miaka mitatu iliyopita.


Maria Sanga (20), mkazi wa kijiji cha Kilingi Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, ameamua kuiangukia Serikali kutengua hukumu kwa kijana aliyemsingizia kuwa alimbaka na kumpa ujauzito mwaka 2017.Kijana huyo alikuwa kidato cha nne huku yeye akiwa kidato cha pili, na baada ya kesi kusikilizwa mwaka 2018 katika kesi namba moja ya mwaka 2017, Tumaini Frank hatimaye alikutwa na hatia ya kumpa ujauzito Maria na kisha kufungwa gerezani miaka 60.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments