Bobi Wine ashinda viti 41 vya Umeya, Museveni apoteza

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Chama cha National Unity Platform (NUP) kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’, kimekishinda mbali Chama cha Rais Yoweri Museveni cha National Resistance Movement (NRM) katika chaguzi za Kampala Capital City Authority (KCCA).


Kwa mujibu wa Gazeti la The Independent, NUP kilishinda viti 41 dhidi ya 44 vya umeya na hivyo kukiacha mbali chama tawala. Viti vitatu vilivyosalia vilinyakuliwa na chama kinachohusiana na mgombeaji wa zamani wa urais Kizza Besigye, Forum for Democratic Change (FDC).

Usikubali Kupitwa na Udaku wa Mjini INSTALL App ya UDAKU Special >>HAPA ili Tuwe Tunakutumia Moja Kwa Moja Kwenye Simu Yako

Hii ilikuwa mara ya kwanza katika historia kwa chama kinachoongozwa na Rais Museveni, NRM na Democratic Party (DP) kushindwa katika uchaguzi wa umeya Kampala.

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo - Ajira Yako

Chama cha Wine pia kilishinda viti vyote vya ubunge kando na kiti cha Kampala ambacho kilitwaliwa na Mohamed Nsereko ambaye alikuwa mgombea huru

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad