Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Breaking News: Mtangazaji Nguli wa CNN Larry King Afariki Dunia, Kisa Kizima Hichi Hapa

 


MANGAZAJI na mwandishi wa habari mkongwe wa kituo cha runinga cha CNN cha nchini Marekani, Lawrence Harvey (87), almaarufu Larry King amefariki dunia leo Januari 23, 2021 katika Hospitali ya Cedars- Sinai, Los Angeles, nchini humo akiwa na umri wa miaka 87 kwa kile kilichoelezwa kuwa ni maradhi ya Covid-19.

Katika taarifa iliyotolewa na Ora Media, Kampuni ya Habari, aliyokuwa anaimiliki, inaeleza kuwa nguli huyo wa habari, alilazwa hospitali tangu mwanzoni mwa mwezi Januari baada ya kupata maambukizi ya Covid 19.


Usikubali Kupitwa na Udaku wa Mjini INSTALL App ya UDAKU Special >HAPA ili Tuwe Tunakutumia Moja Kwa Moja Kwenye Simu Yako

Kwa kipindi kirefu mwanahabari huyo alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya mapafu na saratani ya tezi dume huku mwaka 2019, akinusurika kupoteza maisha baada ya kupatwa na shambulio la moyo lililosababisha

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments