BREAKING News: Ndege ya Abiria ya Indonesia yaanguka na Abiria 62

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Sriwijaya Air, Ndege ya Abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta, imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya Usafirishaji ya Nchi Indonesia imethibitisha.


Awali mashuhuda walisema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha Pulau Laki Nchini Indonesia.


Taarifa hizi zinakuja saa kadhaa tangu ripoti ya Sriwijaya Air, Ndege ya Abiria ya Indonesia kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta, Ndege hiyo ya SJ182 Boeing 737-500 inatajwa kuwa na miaka 26 ya kazi.


CGTN wanaripoti kuwa tayari Meli ya utafutaji na uokoaji imetumwa eneo hilo ambako inaaminika Ndege hiyo ilielekea baada ya kupoteza mawasiliano

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad