google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Chama Aongeza Mkataba Mpya Simba – Picha | UDAKU SPECIAL

Chama Aongeza Mkataba Mpya Simba – Picha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



Kiungo wa Simba, Clatous Chama ameongeza mkataba wa kuendelea kubaki Msimbazi na kumaliza kabisa tetesi zilizokuwa zikienea kwamba huenda akaondoka kwenye klabu hiyo.

Chama amesaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea kuwatumikia Mabingwa hao watetezi wa Ligi Kuu Bara!

Ikiwa mabosi wa Yanga bado wapo kwenye hesabu za kupata saini ya nyota wa Simba, Clatous Chama inabidi wajipange kuvunja benki kuipata saini ya nyota huyo.

Awali ilikuwa inaelezwa kuwa mwamba huyo mwenye tuzo ya mchezaji bora ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2019/21 yupo kwenye rada za watani hao wa jadi.
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad