Chato Yatangazwa Kuwa Kitovu Cha Utalii Kanda ya Ziwa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Waziri wa Utalii na Maliasili, Dkt. Damas Ndumbaro akiwa ziarani Mkoani Geita ametangaza rasmi kuwa Chato ndio kitovu cha #Utalii Kanda ya Ziwa


Amesema wamefikia uamuzi huo kwasababu kuna Utalii wa aina mbalimbali katika Wilaya hiyo ikiwemo wa Misitu, Maji, Hifadhi za Taifa na Uwindaji. Pia, Uwanja wa Ndege wa Chato utawezesha Watalii kusafiri kwa uhakika na urahisi


Vilevile, Waziri Ndumbaro ameielezea Chato kuwa eneo tulivu, hali ambayo inapendwa na Watalii.

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad