Chuo Kikuu Chafuta Shahada ya Heshima Waliyokuwa Wamempa Rais Donald Trump

 


Chuo Kikuu cha Lehigh kimebatilisha Shahada ya Heshima kilichomtunuku Rais Trump Miaka 30 iliyopita. Kimefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha kuwa Rais Trump alihamasisha Wafuasi wake kuvamia Bunge la Marekani


Mwaka 1988, Kaka yake Trump alihitimu katika Chuo Kikuu cha Lehigh, Donald Trump aliitwa kuhutubia katika mahafali hayo na akampewa Shahada ya Heshima


Chuo kimesema tukio la kuvamia Bunge ni kukiuka Misingi ya Kidemokrasia ambayo huheshimu maamuzi ya watu katika Uchaguzi Huru na kukabidhiana madaraka kwa Amani

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments