Ticker

6/recent/ticker-posts

 .

Dada Zangu wa Mjini Punguzeni Machaguo ya Wanaume, Muolewe...

.Utangulizi wa mada

Dada zangu warembo siye wanaume tunawapenda sana na ni ndoto ya kila mwanaume lijali kuwa na wake wa maisha lakn changamoto ni nyinyi hamueleweki mna taka nini katika maisha haya ya 'mitano tena'.


Kiini cha mada. Dada zangu mmekuwa na kasumba moja kubwa sana sijui ndio utandawazi au ndio yale ya kutojua unataka nini.


Leo kila mdada anakwambia mie nataka husband material awe na hili na lile ambapo wakati mwingine ukimuangalia na yeye mwenyewe hata haendani anayo yahitaji.


Siku hizi kila mdada anakumbia mie nataka mwanaume handsome,mrefu kiasi, mwenye Elimu at list degree na iwe ya uchumi au ufundi, awe na vipesa vya kubadilisha wigi na simu.


Hawaishii hapo, mara oh awe na gari kashindwa sana awe na boda, halafu pigo la mwisho eti awe good on bed.


Kaeni mjiulize hivi kati hivyo mnavyo hitaji wewe kipi unacho?


Punguzeni maisha yakina beyonce mtaishia kulalamikia ooh wanaume hawaeleweki mara ninagundu haya shauri yenu halafu kutuita mbwa muache.


Nawaaga kwa jina la Mungu muweza.

 Thanks Quote ReplyReport

 HABARI KAMA HIZI ZINAPATIKANA KWA APP YA UDAKU SPECIAL, DOWNLOAD HAPA KUZISOMA HATA KAMA HUNA BUNDLE

 Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments