1/28/2021

Diamond Afunguka Kwa Mara ya Kwanza "Ni kweli Mzee Abdul si baba yangu mzazi"

 


"Ni kweli Mzee Abdul si baba yangu mzazi, Lakini tangu mtoto nilikua nampenda sana . Mpaka Mwaka 2000 ndio Mama yake @romyjons akaniambia ukweli ..

Hakuna mtu ambae alikua anajua ukweli kwasababu Ndugu zangu wote niliwakusanya kwa Upendo, Kuanzia wakina Ricardo na Queen Darlin " - @diamondplatnumz

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE


HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

  1. Utalaanika, kama unasema usio ukweli.

    Muulize alivyo kuwa anadanga aliutoa mchezo kwa masela wangapi..??

    Kama ni anko, huyu ni Mmsela wa Juzi tu. Bibi cheka ana mengi ya kukwambia

    ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger