1/29/2021

Diamond Platnumz "Nilijua Mzee Nyange Ndio Baba Yangu Mwaka 2000"Mwanamuziki Diamond Platnumz amesema alifahamu kuwa Salum Iddi Nyange ndiye baba yake mzazi tangu mwaka 2000, na kwamba licha ya kufahamu hilo, amesema hakuona sababu ya kulijadili hata na ndugu zake wengine. Diamond amesema mama mzazi wa Rommy Jones ndiye aliyemwambia.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:

1 comment:

 1. Wewe huna baba. zaidi ya Mzee Makame Mrisho.

  Msimuonee Salumu Bubu ajili hawezi kusema. Sanuru alikuwa hajielewi. na mpaka sasa.

  Mwahawa fungua jalada dhidi ya hawa wanao anza kumuua Baba yako kwa njia ya msongo wa mawazo aliwemo mtia kibiriti Juma na Shosti wake.

  Kwini Da Lini, usikubali baba yako auliwe kileja leja .

  Madhara ya Sanura kuingia Redioni na kutapika alio kunywa ni kesi ya Jinai

  ReplyDelete

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger