Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Diamond Platnumz "Sijamfollow Nandy Mtu Aliyekuwa Naye Zamani Kwenye Mahusiano Sikuwa Naye Sawa"

 


''Swala La @officialnandy Nilikutana Naye Dubai Na Kama Kawaida Watanzania Mkikutana Sehemu Lazima Mjumuike Pamoja Hivyo Hakukua Na Kitu Chochote Kibaya Kilichotokea Ni Mtu Ambaye Na Muheshimu Na Nina Heshimu Kazi Yake Na Anaiwakilisha Vyema Nchi Yetu, Swala Lakutomfollow Instagram Sijui Ni Nini Kimetokea Lakini Pia Sijafollow Watu Wengi Sana Na Nafikiri Ni Bahati Mbaya Tu Sehemu Yoyote Nikikutana Naye Huwa Tunaheshimiana Sana Pengine Pia Mahusiano Yake Ya Zamani Yalikuwa Serious Na Mtu Ambaye Kibiashara Sikuwa Naye Sawa Pengine Labda Ikapelekea Sisi Kuwa Hivyo'

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments