google-site-verification: googleb0bc30c3e5fdb812.html Esma Platnum Amefanya Exclusive Interview na Zamaradi Amefunguka Mengi Kuhusu ndoa yake iliyopita | UDAKU SPECIAL

Esma Platnum Amefanya Exclusive Interview na Zamaradi Amefunguka Mengi Kuhusu ndoa yake iliyopita

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Esma ame Eleza kwa kirefu jinsi alivyokutanavna aliyekuwa mume wake Msizwa, ndoa ilivyokua, maisha ya ndoa na mipango yake ya baadae.


Esma amekanusha kuwa hakutoa ujauzito wa Msizwa bali alikua wana matatizo ya kutoka Mwana damu, tatizo lililopelekea yeye kulazwa hospitali.


Siku ya harusi mama aliyetambulishwa hakuwa mama yake mzazi Msizwa. Mama wa Msizwa Esma alikuja kumjua baadae akiwa kwenye ndoa.

Tazama Video Interview Nzima:
-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. siku nyingine uamke ukiona mwanaume anaongea dharau kwa mke/wake zake ujuwe hata wewe atakudharau, unasema umepata mwanaume kwa kuwaponda wenzako

    ReplyDelete

Top Post Ad