Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Fahamu Kuhusu Ugonjwa wa Mkanda wa Jeshi

 


Mkanda wa Jeshi/Shingles au #Herpes zoster kwa majina ya kitabibu ni ugonjwa unaosababishwa na virus aina ya #Varicella-zoster ambao pia husababisha ugonjwa wa tetekuwanga


Ugonjwa huu huathiri ngozi ambapo huambatana na vipele na michubuko kama ya kuungua yenye maumivu makali. Mkanda wa Jeshi unaweza kumpata mtu wa umri wowote ingawa walio katika hatari kubwa ni wenye zaidi ya miaka 60

-Ugonjwa huu mara nyingi humpata mtu aliyewahi kuugua ugonjwa wa Tetekuwanga kabla ya umri wa mwaka mmoja


Kundi lingine lililo hatarini ni watu ambao kinga yao ya mwili imepungua kwa sababu mbalimbali kama vile matumizi ya aina fulani za Dawa, Magonjwa ikiwemo maambukizi ya VVU, #Saratani na Utapiamlo


Hii imepelekea baadhi ya watu kuamini kuwa mkanda wa jeshi ni dalili ya wazi maambukizi ya VVU


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments