1/28/2021

Furaha yageuka karaha kwenye ndoa


Watu wanapofikia kiwango cha kufunga ndoa huwa ni watu ambao tayari wamekaa kwa muda  katika mahusiano na kuw Furaha yageuka karaha kwenye ndoa 

eza kufahamiana kwa kiasi fulani. Ama kweli ndoa vazi la stara. Katika  mtaa mmoja kule Mtwara Tanzania alikuwepo mwanadada mmoja kwa jina Sabrina aliyekuwa  ameolewa na mwanamume kwa jina la Shirima. Waliishi kwa furaha tele kwa muda mrefu sana  bila misuguano ya hapa na pale. Kila siku mume wake akitoka kazini ilikuwa lazima angemletea  vizawadi. Alipendeza sana na kunawiri kwani kila alichokitaka alikipata.  

Baada ya muda Sabrina alipata uja uzito wa mume wake na hapo ndipo furaha iliongezeka hata  zaidi kwani mumewe alitamani sana kujaaliwa mtoto. Ilipotimia miezi tisa, Sabrina alijifungua  salama. Shirima alipopata habari kwamba mke wake amejifungua na tena mtoto wa kiume  alipatwa na furaha isiyokifani. Alitoka ofisini mapema siku hiyo kwenda kumwona mkewe na  malaika huyu mgeni. Alipofika hospitalini alimpata mkewe hana furaha kabisa, akashangaa  inakuwaje kwamba kajifungua salama lakini hana furaha tena? 

Alipofunua yule malaika kiumbe alipigwa na mshangao mkubwa sana na pale kuanza kuzua  varangati kwa mkewe na kumuita malaya kwani alisema huyo hakuwa mwanawe. Masaibu  yalianza pale ambapo familia iliyokuwa yenye furaha sana ilianza kuwa yenye majonzi mengi  kila uchao. Lawama yote kutokana na hali ya mtoto ikamgeukia Sabrina asijue afanyeje. Ulikuwa  ni wakati mgumu sana kwake Sabrina kwani alianza hata kupokea kichapo na matusi  yasiyokwisha. Ilifikia kipindi ambapo Sabrina alifukuzwa na mumewe na hapo akarejea kwao  kwani alnusura afe mikononi mwa mumewe. 

Aliporejea nyumbani kwao wazazi hawakumwelewa kabisa kwani hawakuwahi kuona mtoto  mwenye kichwa kikubwa kiasi kile. Baada ya siku kadhaa nao pia walianza kumwona kama mtu  mwenye mkosi kwa jamii yao na kuwa wanamkashifu kwa tatizo ambalo hakujua chanzo chake  kwa kweli. Sabrina alikaa kwa huzuni sana kila wakati asipate wa kumsaidia, kwani kila  aliyesema nae alimuona mwenye kasoro. 

Lakini kwa kweli Mungu hamwachi Mja wake. Siku moja alipokuwa akielekea kuteka maji  kisimani,alikutana na baba mmoja mtu mzima ambaye aligundua lipo tatizo katika maisha yake.

Sabrina alimueleza matatizo aliyokuwa akipitia na yule baba akamuelekeza kwa Kiwanga  doctors alipowahi kuponea kisukari. Sabrina japo kishingo upande alikubali agizo la yule baba  na kuandamana na mwanawe hadi kwa Kiwanga kule ambapo aligundua kuwa tatizo lake  lilikuwa dogo sana. Alipewa dawa ambazo alitakiwa kumpa mwanawe kwa siku kumi na tano  pekee. 

Zilipopita zile siku akifuata maagizo ya yule daktari wa Kiwanga, kwa kweli kichwa kilirejea cha  kawaida kama cha watoto wa rika lake na hapo Sabrina akarejea katika hali yake ya furaha, lakini akaapa kutorudi kwa mumewe kwani alimkataa wakati wa dhiki alipomhitaji zaidi. Ama  kweli Kiwanga doctors ni sehemu ya manufaa na utulivu wa moyo. 

Kiwanga doctors wanauwezo pia wa kutibu magonjwa kama vile saratani ya kibofu, Ugonjwa wa  moyo miongoni mwa mengine. Vile vile wanatoa huduma kama vile kupata kazi, kusafisha  nyota, kulinda mali na hata kumrejesha mpenzi aliyetoroka. 

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Kiwanga doctors kupitia +254 769404965,  E-mail:kiwangadoctors@gmail.com au tembelea tovuti www.kiwangadoctors.com.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Share:
Loading...

0 [disqus]:

Post a comment

Popular Posts

Copyright © UDAKU SPECIAL BLOG | Powered by Blogger