Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Gigy Money "Maisha Yangu ni Mazito Ukiyafatilia Ipo Siku Yatakudondokea Ufe"

 


AMEANDIKA GIGYMONEY :-

"Kuna watu tunapambana Na umaskini tunajua ndio Adui yetu ila kuna mtu Eti ana Pambana Na mm anahisi mm ndio adui yake

Maisha yangu ukiyafatilia Sana yatakuumiza maana ni mazito ipo siku yata kudondokea ufe, yani maisha yangu aya heleweki ukiona uelewi ni bora uniulize tu mana mm pia natafuta wakushauriana nae 🙄🙄🙄 (msinifatilie nitawasafokeyt)

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE


 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments