Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Harmonize Atangaza Siku ya Kuachia WIMBO Wake na Anjella, Atangaza Kuhitaji Watu Hawa Kwa Ajili ya Angella


Baada ya @harmonize_tz kuukubali uwezo wa mrembo @anjella_tz alifuata utaratibu na usiku wa jana alikutana na mrembo huyo na kufanikiwa kuingia nae studio, habari njema ni kwamba @harmonize_tz ametangaza tarehe rasmi ya kuachia kazi aliyomshirikisha @anjella_tz .


Kupitia ukurasa wake wa instagram @harmonize_tz amepost kipande cha video cha @anjella_tz akiwa anaimba na live band na kuandika “Thank You Queen @anjella_tz You did Good job Last Night Nitafurahi Sana Kuwa Part Ndogo Ya Safari Yako ...!!!! Siku Zote Mungu Anakuwaga Na Makusudi Yake it's Your Time Now Yooo Nahitaji DESIGNER Mkali Ambae Anaweza Fanya Kuanzia Nguo & Nywele Lakini Pia Nahitaji OFFICIAL Make up artist Queen @anjella_tz She is ready 4 First photo shoot ..!!! 🥰 Please Link up with this 2 People Kama Unajijua Wewe ni Mkali Wa Fashion @dukeboy_tz & @jacklinengalunda ♥️🤞 my first (SINGLE) out 20/1/2021 DATE 2 REMEMBER JESHI ft @anjella_tz (ALL NIGHT) PR @bboybeats_ MIXING & MASTERING

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments