Hatimaye Millard Ayo Aanza Kuweka HABARI Kuhusu Diamond Kwenye Kurasa zake Baada ya Kuacha Kwa Miaka Kadhaa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ni kipindi kirefu sana millard ayo aliacha kupost contents za Diamond,


Ishu hii iligeuka fursa kwa wenye channel za youtube maana milard alipanua wao wakaingiza, kusema kweli ilitoa fursa kwa youtube channels nyingine kupata subscribers na views wengi kwa habari za wcb


Matokeo yake ni channels nyingi sana zilianza kukua kwa kasi huku millard akitrend kwa taabu mno


Naona saizi  kaanza kumpost Diamond kwa kasi


Hongera sana millard ayo




-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tatizo ilikuwa ni nini mpaka akaacha??

    ReplyDelete

Top Post Ad