Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Hiki ndio chanzo cha kifo Larry King akiwa na miaka 87
Larry King , aliyekuwa mtangazaji wa shirika la utangazaji CCN katika kipindi maarufu cha Larry King Live nchini Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 87.King aliyejizolea umaarufu kutokana na umahiri wake katika tasnia ya utangazaji, akisifika zaidi kwa uelewa mkubwa wa mambo na maswali yaliyowatikisa aliowahoji alikuwa amelazwa hospitali baada ya kugundulika kuwa na maambukizi ya ugonjwa wa Corona.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na mtoto wake katika ukurasa wake wa Facebook, inaeleza kuwa amefariki leo asubuhi Jumamosi Januari 23, 2021 katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center Los Angeles nchini Marekani.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments