Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jacqueline Wolper Atangaza Mastaa 10 AnaowadaiNi 'headlines' za msanii wa filamu na mfanyabiashara Jacqueline Wolper ambaye kupitia post zake mbili za mwisho kwenye mtandao wa Instagram ametangaza kuwataja mastaa 10 ambao anawadai na wamegoma kumlipa pesa zake.


Kupitia post hizo Jacqueline Wolper ameandika kuwa "Haya tangazo tangazo, wote mliokopa kwangu Mwaka jana nawapa hadi saa 10 jioni kama hamjalipa nawaanika kweupe ili wengine wakiona sura zenu wafunge maduka yao, tuonane kesho kuna 'top 10' nitawapost wote na nguo zangu mnazojishauwa nazo kenge nyie" 


"Leo nimelipwa hizo milioni kadhaa hapo 'atleast' na mimi nikalipe, sasa bado wale magwiji wavikoba mastaa pumbavu kabis,a nina hasira nao kuliko chochote hawa sijui tuwape siku ngapi" ameongeza 

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments