Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Jose Chameleone Amfuata Bobi Wine, Aingia Kwenye Kinyang'anyiro cha Umeya Kampala

 


Nyota wa muziki wa Hip hop nchini Uganda Jose Chameleone ni miongoni mwa wagombea wa nafasi ya meya wa jiji la Kampala.

Uchaguzi wa viongozi wa serikali za mitaa unafanyika leo nchini Uganda, pamoja na Meya wa majiji kukiwa na ushindani mkali katika jiji la Kampala.Lord Meya anayetetea kiti chake Elias Lukwango wa chama cha FDC anakabiliwa na ushindani wa wasanii wawili.

Download App ya Udaku Special HAPA Kusoma Hizi Habari Kupitia Simu yako Kirahisi


Wakati huo huo tume ya uchaguzi ikiwa imepokea matokeo ya vituo 1200 vya kupiga kura ambavyo havikujumuishwa wakati akitangazwa rais Museveni kuwa mshindi.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments