Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

JPM: Watanzania tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewa letewa, Taifa hili ni tajiri kila mmoja anaitamani

 
“Chanjo hazifai. Kama Wazungu wangekuwa na uwezo wa kuleta chanjo, hata chanjo ya UKIMWI ingeshaletwa… Lazima Watanzania tuwe waangalifu kwa mambo ya kuletewa letewa, msije mkafikiria mnapendwa sana. Taifa hili ni tajiri, Afrika ni tajiri, kila mmoja anaitamani.“Niiombe Wizara ya Afya isiwe inakimbilia mambo ya machanjo chanjo bila yenyewe kujiridhisha. Ipo nchi fulani walichanjwa watoto wake wa kike, wanaambiwa ni kwa ajili ya kuzuia cancer ya kizazi, imekuja kugundulika ile chanjo ilikuwa ni ya kuwazuia wasizae.”

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments