Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kakakuona Aonekana Mvomero, Atabiri Neema
MNYAMA Kakakuona ameonekana Wami Sokoine, Wilaya ya Mvomero ambapo Viongozi wa Kimila na Kidini walimtumia ili aweze kutabiri hali ya mwaka huu.

Walimuwekea zana za kimila, zana za umeme na vifaa vingine ambapo alipita kati ya unga na maziwa hali iliyoonekana kuwa ishara ya neema kwa mwaka 2021.

Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Albinus Mgonya amesema, mbali na imani kuwa msimu utakuwa mzuri, amewataka Wananchi wazingatie kilimo bora kwa kuzingatia Sheria za Kilimo.

  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments