Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kampuni Zinazotapeli Watalii Kufutiwa Leseni

 


Bodi ya Leseni ya Biashara za Utalii (TTBL) imeagizwa kuzifutia Leseni Kampuni za #Utalii na Waongoza Watalii zinazochafua taswira ya Taifa kwa kujihusisha na vitendo vya wizi na utapeli


Waziri wa Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ametoa agizo hilo akisema zipo Kampuni ambazo zimekuwa zikitapeli Watalii, jambo linalosababisha madhara katika Sekta hiyo


Vilevile, ameiagiza TTBL kuhakikisha Mawakala wa Biashara za Utalii wananunua bidhaa zilizopo #Tanzania badala ya kuzinunua nje ya Nchi na kuziuza kwa Watalii kwa bei ya juu

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments