KIMENUKA...Iran Yaliamsha TENA, Wataka Kulipiza Kisasi Kwa Marekani Kuuwawa Kiongozi wao wa Jeshi

 


Ikiwa imetimia mwaka mmoja tangu kuuawa kwa Kiongozi wa Ngazi ya Juu wa Jeshi la Iran, Qasem Soleimani, Nchi hiyo imeendelea kusema italipiza kisasi dhidi ya Marekani


Kumekuwa na mikusanyiko mikubwa ya watu iliyodumu kwa takriban wiki moja sasa katika maeneo kadhaa, kama sehemu ya kumuenzi Soleimani aliyeuawa Januari 03, 2020


Siku chache zilizopita, Rais Hassan Rouhani alisema, kuuawa kwake ni uhalifu usioweza kusamehewa na kisasi kitaamuliwa kwa wakati sahihi


Aidha, Jaji Mkuu wa #Iran, Ebrahim Raisi amesema, Marekani ingoje kisasi cha nguvu kwa uhalifu iliyoutenda huku akionya kuwa wote waliohusika hawatakuwa salama

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments