Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Kimenuka..Mrembo Celina Powell Adai Offset Alimpatia Kiasi cha Milioni 115 za Kitanzania Kutoa Ujauzito


Celina Powell adai Offset alimpatia kiasi cha pesa ($50,000) zaidi ya milioni 115 za Kitanzania kwa ajili ya kutoa ujauzito wake.


Sasa Cardi B siku zote amekuwa akisimama mgongoni mwa mumewe Offset, ameibuka twitter na kumtetea kwa mara nyingine tena. Shabiki mmoja alimuandikia kwamba "Hivyo ukaamuacha mumeo alale na mwanamke mwingine, na bado unamtetea."

-

Cardi B aliiona tweet hiyo na kujibu "Utakuwa mpya kwenye mitandao ya kijamii. Ngoja nikurudishe nyuma kidogo." alijibu Cardi B akimaanisha kwamba ishu hii ya Powell na Offset imekuwepo kwa muda sasa na haina ukweli wowote.


Juzi (Januari 10), Celina Powell aliweka kipande cha video cha sekunde 10 ambacho kiliambatana na ujumbe usemao "Mastaa wote ambao walinifanya nitoe ujauzito." Kisha picha ya kwanza kutokea ilikuwa ya Offset, pia Eminem, Gucci Mane na Jason Derulo.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments