Kisa Simba…GSM Yamficha Straika wa Mabao

 


“SUBIRINI atue kwanza ndiyo mtamjua!” Hiyo ni moja ya kauli kutoka kwa uongozi wa Yanga unaosimamia usajili ndani ya kikosi hicho huku straika Fereboy Dore kutoka Congo akitajwa kuwa karibu kuvaa uzi wa Yanga.

 

Kauli hiyo ya Yanga imezungumzwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili Yanga ambaye pia ni Mkurugenzi Uwekezaji wa Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa klabu hiyo, Injinia Hersi Said.

 

Injinia Hersi amesema kuwa, wameamua kumficha straika huyo kutokana …

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments