Kocha Patrick Aussems Atamani Kurudi SIMBA, Atamba Kuivusha Tena Robo Fainali Ligi ya Mabigwa Afrika


Kwa mujibu wa Gazeti la @mwanaspoti_tz aliyewahi kuwa kocha wa Simba, Patrick Aussems amesema yupo tayari kurejea klabuni hapo kama mabosi wa timu hiyo watampa nafasi. Aussems ameahidi kuwa anaweza kukusanya alama zaidi ya 10 katika mechi za Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika Na Kutinga Hatua Ya Robo Fainali Ya Michuano Hiyo Kwa:Msimu Huu Wa 2020/21


That Gal ya Rosa Ree Yawa Gumzo Itazame Hapa chini:

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO

Post a comment

0 Comments