Koffie Olomide baada ya kutua Tanzania: Msalimieni rafiki yangu Diamond, ngoma ya Nandy ilikuwa iwe ya kwanza ?

advertise here


Baada ya kutua Bongo Koffie Olomide amethibitisha kuwa tayari wamerekodi ngoma yao na Nandy na kilichomleta Tanzania ni kurekodi video tu.

Nandy ameeleza kuwa Collabo yake na Koffie Olomide ilishafanyika muda sana ila kuna vitu ambavyo vilihusu uongozi zaidi ndio vilichelewesha.

Koffie ametuma salamu zake kwa Diamond Platnumz na kumsalimia akieleza kuwa ni rafiki yake sana baada ya kuulizwa kuhusu ngoma ya WAAH ameleza ile ni ngoma kubwa sana na hana la kusema zaidi ya WAAAH.

 


HABARI HIZI ZINAPATIKANA  KWENYE APP YA UDAKU SPECIAL, BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO BURE