Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Lampard kutimuliwa Chelsea, huyu ndiyo mbadala wake
Chelsea wanampango wa kumfungashia virago kocha wake Frank Lampard na nafasi yake kuchukuliwa na aliyekuwa kocha wa Borussia Dortmund na PSG, Thomas Tuchel.

Frank Lampard could be SACKED if Chelsea lose to Leicester in Premier  League tonight, talkSPORT told, but Brendan Rodgers links downplayed

Lampard alichaguliwa kuwa kocha mkuu hapo Stamford Bridge mwezi Julai mwaka 2019 huku akiwa ametumia zaidi ya paundi milioni 200 kipindi kilichopita cha msimu wa majira ya joto kwenye usajili wake akiwasaini Timo Werner na Kai Havertz.


Tuchel anayetazamiwa kuchukua mikoba ya Lampard alitimuliwa PSG Disemba 24, 2020 akiwa na misimu miwili na nusu huku akiwapatia mataji mawili ya ligi na kuwafikisha hatua ya fainali ya Champions League na kufungwa na goli 1 – 0 dhidi ya Bayern Munich.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments