Miongoni mwa vitu ambavyo vitamfanya mwenza wako awwze kuongeza upendo kwako ni pamoja na mambo yafutayo
1. Jiatahidi kumpongeza hasa pale afanyapo vizuri.
2. Mkumbushe siku yake kuzaliwa.
3. Mpeleke mazingira ambayo hajawahi kwenda.
4. Muandie ujumbe ufupi wa mandishi mara kwa mara.
5. Mpe muda wa kufanya mambo yanayomuhusu.
6. Mfanyie shopping kila unapoweza.
7. Kumbuka majina ya rafiki zake na ndugu zake.
8. Mwambie maneno ya kimahusiano mara kwa mara.
Sikiliza Wimbo Hapo Chini Rosa Ree Aliyofanya na Waimbaji Undergroud, Ni Noma Diamond Ampa Big Up:
DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE
0 Comments