Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Maneno ambayo husaidia kuamsha hisia za kimapenziKuna mwanafalsafa fulani aliwahi kuandika katika maandiko yake akisema ya kwamba, maneno ya upendo yana nguvu sana katika mahusiano. Mtu unamwambia maneno mazuri na matamu katika mahusiano hujenga hisia mpya za kimapenzi.


Hivyo kila wakati unatakiwa kujifunza kumwambia maneno yafuatayo mpenzi wako ili kujenga hisia za kimapenzi :


1. Umenifanya niwe mtu bora


2. Umenifanya nijisikie Kupendwa


3. I love you so much.


4. Kila niwapo na wewe najisikia vizuri.


5. Sitasubiri kukuona tena.


6. Napenda kutumia muda mwingi na wewe.


7. Napenda niwe wako.


8. Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako.


9. Napenda uso wako.


10. Nashukuru kukuona


11. You’re so beautiful/handsome


12. Unanijali vizuri


13. Unanifundisha vitu vipya kila siku


14.I love how funny you are


15. Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako


16. Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara.


17. Napenda uwepo wako


18. You’re amazing


19. Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii


20. Kuwa na wewe napata furaha


21. Unaufanya moyo wangu utulie


22. I feel so loved by you


23. Napenda jinsi ulivyo mtu wa fikra


24. Mara zote unanipa ushauri mzuri


25. Maisha ni mazuri nikiwa upande wako/ukiwa upande wangu


26. You’re the best


27. Kamwe sitaki kuwa na mwingine lakini wewe.


28. Wewe ni familia ambayo nilitaka niwepo.


29. Kila wakati unajua kitu kizuri cha kusema


30. Napenda maisha tuliyonayo pamoja


31. Siamini jinsi nilivyo na bahati ya kuwepo na wewe.


32. Sijawahi kusikia hali hii niliyo nayo kuhusu wewe


33. Unanifanya niwe mwanamke bora/mwanaume bora kwa sababu niko na wewe.


34. Napenda jinsi ulivyo na akili


35. Wewe ni mwenza mzuri


36. Nafurahia ninapokuwa na wewe


37. You’re incredible


38.Una akili sana


39. Unaufanya moyo wangu ushibe


40. Kila niwapo na wewe  nina furaha


41. Nakutamani


42. Umeniletea furaha


43. Sihitaji mtu mwingine ni wewe


44. Tukue sote pamoja


45. Nashukuru kukupata


46. Najisikia vizuri ninapokuwa karibu yako


47. Najisikia kupata msaada mkubwa kwako


48. Maisha ni mazuri sana nikiwa na wewe


49. Sitaboreka nikiwepo na wewe


50. You make me so happy.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments