Mange Kimambi Awashukia Baby Mamas wa Diamond Platnumz Wanaopeleka Watoto Nyumbani Kwake "Ni Kujichoresha"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

 


Ameandika haya Mange Kimambi Kwenye Ukurasa wake wa Instagram:

"Duh, Ila Dai ana raha jamani. Yani wanawake zake wanakazi ya kupishana airport kupandisha watoto mandege, Kha!

Kwanza why mnapandisha watoto mandege ? why yeye ndo asiende kuona watoto? Au atume mamake abebe watoto waende Dar why wewe mwanamke mpaka ujipeleke na wewe kujichoresha? Kama Zari alivyo kuwa anafatana na Dai mpaka mpirani, what was that for kama sio kujichoresha na ndo mwanaume anazidi kukudharau, anakuona cheap, alafu ukiangalia picha alizoposti Zari na alizoposti Dai za siku ile mpirani unaona kabisa nani anashoboka na nani hana time.


Guys this is not co-parenting. Wanachofanya wanawake wa Dai ni pure stupidity. Mimi nna coparent na ex husband wangu ila hadi leo hii sijui ndani kwake panafanana vipi. Nikipeleka watoto ni anatoka nje anawachukua, hata kwenye gari sishuki na yeye akiwadrop hivyo hivyo ananitumia message nashuka chini nabeba wanangu bomba. Siku moja alisema yuko bafuni niingie nao ndani niwaache sebleni, wee mbona nilimsubiria akamaliza kuoga. Siingiii kwake, niingie for what? Hawa wanawake wa Dai wote bado wanampendaaaa ndo maana wanajichoresha in the name of coparenting. 🙈

Anyways Dai na Tanasha wanapendezana warudiane tu, Lol. Sio yule kizee mwenzangu alikuwa anaonekana kama shangazi yake.

Ila navyomjua Bi Tukinao huko aliko roho inamuuma kufaaaa, harudi tena Dar 🤣🤣🤣. Haendi ng’oo sio kwa aibu hii 🤣🤣🤣. Mwenzie anapetiwa in public ye hata hug ilikuwa ngumu kupewa 🤣. Alijua pale atakuwa anafikia yeye na wanae tu, yani yule sijui lini atakuja kumjua Dai vizuri." Mange

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad