Ticker

6/recent/ticker-posts

Ad Code

Melania Trump Amchoka Donald Trump, Huenda Wakaachana Hivi Karibuni...Aonyesha Kwa Vitendo Kuchoka


Melania Trump ni kama amemalizana na mumewe baada ya kuondoka kwenye kuta za White House. Ashindwa kusimama na kupiga picha mbele ya wageni mara baada ya kuwasili mjini Florida toka Washington.


Kama unakumbukumbu vizuri, Melania aliwahi kukaririwa akisema ataachana na Donald Trump pindi tu akimaliza shughuli za Urais. Melania alisema hakupenda maisha ya hadhi hiyo kubwa duniani.

 Tazama Hapa Chini Msanii Rosa Ree Akimkemea Shetani:


  DOWNLOAD APP YA UDAKU SPECIAL => HAPA KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE


Post a comment

0 Comments